Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161
2.3.8
Contains ads
4 downloads
Google Play Download APK 6.91 MB
Free Robert Londo Posted in: 2020-09-18
Screenshots - Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 Screenshots - Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 Screenshots - Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 Screenshots - Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 Screenshots - Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

Free apk Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 download

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini. - Apk Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 safely for free!

A little about the app Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti
What's new in Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161?
Updates tone for hymn no 114
Adds two tones for hymns no 18 and 109
More info
Creation date
Ranking
Everyone
Requires Android
4.1 and up
Privacy policy
Support
APK Updated On
2020-09-18
Size
6.91 MB
Related books & reference apps + view more
Rating App
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161